04 May 2009 MAIN PAGE SITE INDEX CONTACT US HELP
  Swahilinews
NAVIGATION
SEARCH
 
SPECIAL  
ARCHIVES  
Print this article Send this article

Kiongozi wa Kiislamu Somalia akanusha kufanya mazungumzo na rais wa nchi hiyo
 
2009-05-04 21:25:45
Na EAR Habari

Kiongozi wa Kiislamu mwenye ushawishi nchini Somalia amekanusha uwezekano wa kufanya mazungumzo na rais wa nchi hiyo katika jitihada za kumaliza ghasia zilizoigubika nchi hiyo kwa miaka kadhaa.

Kiongozi hiyo Sheikh Hassan Dahiri Aweys ametoa wito kwa waislamu nchini Somalia kuendelea kupambana na serikali inayoongozwa na kiongozi mwenye msimamo wa wastani Sheikh Sharif Sheikh Ahmed.

Sheikh Aweys alirejea nchini Somalia mwezi uliopita kutoka ukimbizini huko Eritrea na kuashiria kuwepo kwa uwezekano wa yeye kufanya kazi na rais wa Somalia ambaye hapo awali walikuwa katika kambi mmoja.

  • SOURCE: EAR
Habari za Leo
-----------------------------------------------
Maoni ya Mhariri
-----------------------------------------------
Business bits
-----------------------------------------------
Makala
 
Privacy Statement Terms Of Use ©1998-2007 IPPMedia Ltd.  All Rights Reserved.